SAFI SANA!!!! MAPAMBO YA VYUNGU

Mtoto Mariam Issa (13), ambaye alipaswa kuwa Shule, alikutwa na kamera yetu eneo la Buguruni, Dar es Salaam jana, akitembeza vyung... thumbnail 1 summary

Mtoto Mariam Issa (13), ambaye alipaswa kuwa Shule, alikutwa na kamera yetu eneo la Buguruni, Dar es Salaam jana, akitembeza vyungu maalumu kwa ajili ya mapambo. (Picha na Nyakasagani Masenza)
Chanzo: Majira