Picha: Maisha ya Rais Obama akiwa ndani ya ndege ya AIR FORCE ONE (an inside look)

Boeing VC-25A ni ndege ambayo imetengenezwa maalumu kwajili kutembelea Rais wa Marekani kwenda sehemu mbalimbali duniani, hapa chini ni pic... thumbnail 1 summary
Boeing VC-25A ni ndege ambayo imetengenezwa maalumu kwajili kutembelea Rais wa Marekani kwenda sehemu mbalimbali duniani, hapa chini ni picha Rais Obama akifanya shughuli za kiofisi na mapumziko akiwa ndani ya ndege hiyo
 Rais Barack Obama wa Marekani
 Ndege ya Rais Obama, Air Force One, maalumu kwa rais wa Marekani
 Rais Obama akitazama nje kupitia dirisha la ndege hiyo
 Rais Obama akipiga simu akiwa angani


 Rais Obama akiwa na Staff Secretary, Dough Cramer 
 Obama akijadili jambo na Naibu katibu wa habari Josh Ernest kushoto na Mkurugenzi wa National Economic Council, Gene Sperling (katikati)
 Rais Obama akiangalia nje pamoja na watoto wa Deputy Staff of Policy Nancy-Ann DerParle, Nicky na Zachary 


Obama akicheza na mbwa wake, Bo