Picha: Mbwembwe na pozi za Diamond na timu ya Wasafi kwenye uwanja wa ndege Mpanda kabla ya kupanda ndege kurejea Dar

Baada ya kuwa na mishe mishe ya kazi zangu za  muziki muda umewadia sasa wa mimi kujongea kidogo mjini Dar es salaam nkasalimie  kidogo ka... thumbnail 1 summary
Baada ya kuwa na mishe mishe ya kazi zangu za
 muziki muda umewadia sasa wa mimi
kujongea kidogo mjini Dar es salaam nkasalimie
 kidogo kabla ya ratiba yoyote
nyingine haijatokea,maana ni siku ya 5
sasa toka niwe huku kikazi zaidi.
Toka Tabora fiesta hadi Mpanda nikiwa
na Crew yangu nzima ya wasafi
along side with my Assistance &
Vice President Rommy Jones.
Mepamis sana nyumbani,memiss mama,
Baby wangu na familia kiujumla
nimewamiss pia wakazi wangu wa Dar,niko
njiani tuombeane safari njema
Inshallah Mwenyezi Mungu atusaidie tufike salama.
Kutoka kushoto Emma Platnum,Rama Tonser,Rommy
Jones,Dumi Utamu,Mimi mwenyewe Kichwa
& Moses Peter or call Him Mose Iyobo...Airport On srt kuruka twaja Dar.
WE FLY HIGHER THAN ANYTHING......
WCB FOREVER DARLING

Nakuja Dar watu wangu tukutane pande zetu zozote leo
ntakuwa around kwaajili yenu.