1. SARCOLINE
Umewahi kuvaa jacketi la ngozi, halafu liwe na rangi hii? "flesh-colored" na ukitupia pamoja na viatu virefu (kwa wadada) unaonekana mrefu hata kama ni mfupi. rangi inaitwa Sarcoline
2. COQUELICOT
Ni rangi ya chungwa iliyonogeshwa na rangi nyekundu.
3. SMARAGDINE
3. SMARAGDINE
Smaragdine hii ni emerald green
4. MIKADO
Hii inaitwa bold yellow.
5. GLAUCOUS
Blue-gray or blue-green
6. WENGE
Kama umefanya shopping ya furniture, utakuwa unaifahamu rangi hii, kitu cha dark brown wood ikinakshiwa na copper kwa mbaaali.
7. FULVOUS
Brownish-yellow feathers.
8. XANADU
Hili jina linatokana na jiji moja huko China, kitu cha gray-green ambayo inapatikana zaidi kwenye mji huo wa XANADU.
9. FALU
10. EBURNEAN
Rangi hii ni kama ya meno ya tembo, yeah najua ukiyaangalia meno ya tembo ni kama meupe lakini kuna hii rangi yenye ka-yellow kwa mbali
11. AMARANTH
Rose-red si tunaifahamu wengi, hii ndo rangi yake, wabunifu na watu wa mapambo jamani mtupie maoni yenu leo nimejaribu kuleta rangi hizi, mwasemaje????
Tabianchi
Tabianchi