Mdau wa sheria nchini na mwanasheria wa kampuni ya Precision Air Elias Tenson Mwashiuya juzi Jumamosi alifunga pingu za maisha na Mwanadada mrembo wa Kinyamwezi wa kule Tabora jamani harusi la kukata na shoka watajibeba haoooooooo!
Jamani mdau huyu Elias ni wakili si wa umbeya wa issues za maana si unaona madege ya Precision air hadi bondeni mpaka Pemba ya Mozambique wadau mpo!
Elias katika pozi mbalimbali na wife wake Bi Lilian Semmy Mkumbo katika reception iliyofanyika ukumbi wa Josam House Mwenge
Wageni waalikwa wakitoa pongezi kwa maharusi.
Mdau wa sheria nchini na mwanasheria wa kampuni ya Precision Air Elias Tenson Mwashiuya akisakata Rhumba na maiwaifu wake.
Elias katika tabasamu pana na wife wake watajibeba.
Chanzo: Moblog