Picha: Muonekano wa Arusha Hoteli kutoka miaka 1906 hadi 2013

Arusha Hotel hadi kufika hapo ilipo leo imepitia kwenye mikono ya watu wengi, awali ilikuwa ikimilikiwa na serikali lakina baadae ikabina... thumbnail 1 summary
Arusha Hotel hadi kufika hapo ilipo leo imepitia kwenye mikono ya watu wengi, awali ilikuwa ikimilikiwa na serikali lakina baadae ikabinafsishwa na siku hizi inamilikiwa na mhindi mmoja hivi, kwa wale wenye info na kumbukumbu zaidi naomba kushare nami. lakini kwa leo nimewaletea picha za hoteli hiyo inavyoonekana toka mwaka 1906 na 2013
19061968
 2013