Sifa 13 za maajabu ya tembo

1. Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi. 2. Tembo anaukubwa wa ta... thumbnail 1 summary
1. Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa
chini ni kama ina sponge hivi.
2. Tembo anaukubwa wa tani 7
3. Tembo jike hubeba mimba miezi 24 au miaka 2
4. Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40  
6. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
7. Umri wake wa kuishi ni miaka 60
8. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
9. Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12; masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.
10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano

12. Tembo anategemea sana uwezo wake wa kunusa ili kuweza kutambua mazingira aliyopo na vitu vinavyomzunguka. Sambamba na harufu, tembo pia ana uwezo mkubwa wa kusikia kupitia masikio yake makubwa (by the way, tembo porini huitwa Masikio).

13. Tembo hana uwezo mkubwa wa kutambua vitu kwa kuona. hutegemea zaidi pua na masikio kuweza kufanikisha shughuli zake. kutokana na hali hiyo, mara nyingi ukiwa porini unashauriwa kumpiga picha tembo BILA ya kutumia flash. hii inatoka na kwamba, endapo utatumia flash wakati unampiga picha, tembo atajenga hisia ya kutoelewa nini kimetokea. kwa kifupi hataweza kutofautisha kama ni kitu cha kawaida au ni hatari. katika mazingira haya, huanza ku-charge kuelekea upande ule ambao mwanga umetokea.
Ushauri wa bure ni kwamba hakikisha flash ya kamera yako imezimwa unapompiga picha tembo na cha msingi sana usimkaribie kwa karibu kama flash ya kamera yako ni automatic - inajiwasha yenyewe kutoka na mwanga inaoupata.