UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 29/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 29/10/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mkoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, vipindi vifupi vya  mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma, Shinyanga, Singida na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Rukwa]:
[Mikoa ya Morogoro na Ruvuma]:
[Mikoa ya Iringa na  Mbeya]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C               
15°C               
12:13
12:23
D'SALAAM
32°C            
20°C
11:59
12:15
DODOMA
32°C
17°C
12:14
12:29
KIGOMA   
28°C
20°C
12:39
12:52
MBEYA
29°C
15°C
12:21
12:39
MWANZA
31°C
19°C
12:28
12:36
TABORA
34°C
20°C
12:27
12:40
TANGA
30°C
23°C
12:02
12:15
ZANZIBAR
32°C           
22°C           
11:59
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya
                               Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                            
Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 31/10/2013: Mabadiliko kidogo.
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 29/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.