Picha: Aina 10 za nyoka wa ajabu

Anafahamika kwa jina la Elephant Trunk Snake, anapatikana Asia, hasa Indonesia, northern Australia, and New Guinea. Dunia ina viumbe ... thumbnail 1 summary

Anafahamika kwa jina la Elephant Trunk Snake, anapatikana Asia, hasa Indonesia, northern Australia, and New Guinea.

Dunia ina viumbe wa kila aina na elo hii nakuletea aina 10 tofauti za nyoka ambao wanamwonekano tofauti na uwezo wao katika kuleta madahra kwa binadamu lakini yote ya yote nyoka si rafiki so nivizuri kumjua. 

1. Langaha Nasuta

2. Emerald Tree Boa
3. Cobra’s Hood
4. Blind Snake
5. Albino Burmese Pythons
6. Bright Pink Snake
7. Albino Nelsoni
8. Blue Coral Snake
9. Elephant Trunk Snake
10. Horned Viper