LInapofikia jambo la chakula kwa tembo hakuna kitu chchote kinachoweza kumzuia asikipate, tembo wenye njaa hawakusubiri sana kupayapata mahitaji yao ya chakula na hivyo kuamua kuingia ndani ya hoteli kusaka maji na chakula huko Zambia kwenye logde ya Mfuwe.
Nimekuletea picha kadhaa zikionyesha tembo walivyoingia kwenye hoteli na kufanya yale waliyoona yanafaa kufanywa.
Huduma tafadhali! tembo akikagua kwenye eneo la mapokezi, nadhani hakupata mtu wa kumhudumia na anataka kujihudumia mwenyewe kwenye hoteli ya Mfuwe Lodge, South Luangwa National Park, Zambia
Msako mkali wa chakula na maji
Mama na mwana
Jamani chakula ndo mpango mzima
Inamaana hawa wahudumu hawanioni tu, ngoja niwafuate hukohuko jikoni
Maji kwenye dumu hili yapo
Ngazi kwa ngazi, kila kona tutafika
Fainally: Kuna chakula jamani, leta maboga, na matikiti maji ya kutosha haraka sana, usisahau kuleta bill