UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 04/12/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 04/12/2013.


 [Mikoa ya Kigoma, Rukwa na Tabora]:
[Mikoa ya  Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
.
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
[Mikoa ya Mara, Dodoma na Singida]:

Hali ya mawingu, ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
  [Mikoa ya Dar-Es-Salaam na  Pwani]:
 [Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma]:
 [Mikoa ya Iringa, na Mbeya  ]:
 [Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro na Tanga]:



Hali ya mawingu kiasi , mvua  katika  maeneo machache  na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27C               
15°C               
12:17
12:31
D'SALAAM
32°C           
23°C
11:59
12:27
DODOMA
30°C
20°C
12:15
12:36
KIGOMA   
28°C
21°C
12:40
01:02
MBEYA
26°C
14°C
12:19
12:53
MWANZA
27°C
17°C
12:32
12:44
TABORA
31°C
22°C
12:28
12:50
TANGA
32°C
26°C           
12:03
12:25
ZANZIBAR
31°C           
24°C           
11:59
12:27















Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvumaKutoka Kusini -Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa  kwa
                       Pwani  ya Kaskazini na Kutoka Mashariki kwa kasi ya km 10 kwa saa  Kwa pwani ya Kusini                              
                             
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 06/12/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                                       
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 04/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.