Picha: Ng'ombe asafirishwa kwa kubebwa kwenye pikipiki

HII kali, kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Haji Shemndoa mkazi wa Kijiji cha Hambai Wilaya ya Lushoto Jijini Tanga hivi kari... thumbnail 1 summary
HII kali, kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Haji Shemndoa mkazi wa Kijiji cha Hambai Wilaya ya Lushoto Jijini Tanga hivi karibuni aliamua kusafirisha Ng'ombe aliye hai kutoka kijiji cha Hambai hadi kijiji cha Soni kwa kutumia Usafiri wa pikipiki Picha kwa hisani ya Wasambaa