UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 15/04/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 15/04/2014.

[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi  na  Morogoro (Kaskazini)]:
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
 [Mikoa ya Dodoma na Singida]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa, Ruvuma na Mahenge]:
[Mikoa ya, Lindi na Mtwara,]
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

ANGALIZO
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA PWANI YA KASKAZINI (MIKOA YA DAR ES SALAAM, PWANI, TANGA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
17°C
12:35
12:36
D'SALAAM
31°C
23°C
12:26
12:23
DODOMA
27°C
18°C
12:40
12:37
KIGOMA     
31°C
22°C
01:03
01:02
MBEYA
23°C
14°C
12:50
12:45
MWANZA
29°C
19°C
12:49
12:50
TABORA
30°C
18°C
12:51
12:50
TANGA
32°C
24°C
12:26
12:25
ZANZIBAR
31°C
25°C
12:26
12:23

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka  Mashariki kwa Pwaniya Kaskazini na kutokea Kusini –Mashariki kwa Pwani ya Kusini                                                        
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa  na Mawimbi madogo madogo.

Matazamio kwa siku ya Alhamis: 17/04/2014: Ongezeko la mvua katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini..

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 15/04/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.