UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 17/04/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 17/04/2014.
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]

Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara ]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora na Katavi]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro (Kusini)]:
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya na Iringa]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

TAHADHARI
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA PWANI YA KASKAZINI (MIKOA YA DAR ES SALAAM, PWANI, TANGA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
ANGALIZO
ONGEZEKO LA MVUA LINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA LINDI NA MTWARA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
17°C
12:35
12:36
D'SALAAM
30°C
23°C
12:26
12:23
DODOMA
28°C
18°C
12:40
12:37
KIGOMA   
29°C
20°C
01:03
01:02
MBEYA
24°C
13°C
12:50
12:45
MWANZA
29°C
18°C
12:49
12:50
TABORA
29°C
18°C
12:51
12:50
TANGA
30°C
24°C
12:26
12:25
ZANZIBAR
30°C
24°C
12:26
12:23

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa, kutoka  Kusini kwa Pwani ya
                                                 Kaskazini na kutoka Kusini –Mashariki kwa Pwani ya Kusini       
                                                 
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 19/04/2014: Ongezeko la mvua katika ukanda wa Pwani ya Kusini.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 17/04/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.