UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 18/04/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 18/04/2014.

[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro (Kusini)]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]

Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo mengi na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]: [Mikoa ya Kigoma na Morogoro (Kaskazini)]:
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara ]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya na Iringa]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Tabora na Katavi]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
TAHADHARI
  1. VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MENGI YA PWANI YA KUSINI (MIKOA YA LINDI NA MTWARA. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA UNATARAJIWA KATIKA UKANDA WA PWANI YA KUSINI.
ANGALIZO
  1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MENGI YA PWANI YA KASKAZINI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C
17°C
12:35
12:36
D'SALAAM
30°C
23°C
12:26
12:23
DODOMA
28°C
19°C
12:40
12:37
KIGOMA       
26°C
20°C
01:03
01:02
MBEYA
24°C
14°C
12:50
12:45
MWANZA
29°C
20°C
12:49
12:50
TABORA
29°C
18°C
12:51
12:50
TANGA
30°C
24°C
12:26
12:25
ZANZIBAR
29°C
25°C
12:26
12:23

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa, kutoka  Kusini-Magharibi kwa Pwani ya
                                                 Kaskazini na km 40 kwa saa kutoka Kusini –Mashariki kwa Pwani ya Kusini       
                                                
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi hadi makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 20/04/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 18/04/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.