MRADI WA TAA ZA UMEME WA JUA KWENYE BARABARA ZA BAGAMOYO WAZINDULIWA RASMI

  Moja ya taa za barabarani zilizozinduliwa mjini bagamoyo ambazo ni rafiki wa mazingira Picha zote na evelyn Mkokoi  Afisa Mazingi... thumbnail 1 summary

 Moja ya taa za barabarani zilizozinduliwa mjini bagamoyo ambazo ni rafiki wa mazingira Picha zote na evelyn Mkokoi

 Afisa Mazingira na Utalii wa Wilaya ya Bagamoyo Na Mratibu Mradi Utalii Ikolojia Bwana Obedi Mwinuka akisema machache wakati wa uzinduzi wa taa za barabarani ambazo ni rafiki wa mazingira mjini bagamoyo.


Mkurugenzi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Julius Ningu, akiongea machache katika uzinduzi wa taa za barabarani mjini Bagamoyo ambazo ni rafiki wa mazingira