PICHA: WAZUNGU WAUTAMANI UTAMADUNI WA KIAFRIKA

WASICHANA wawili raia wa kigeni hivi karibuni walinaswa Wila ya ya Lushoto Jijini Tanga wakiwa juu ya milima ya Usambara nje ya nyumba ... thumbnail 1 summary
WASICHANA wawili raia wa kigeni hivi karibuni walinaswa Wila
ya ya Lushoto Jijini Tanga wakiwa juu ya milima ya Usambara nje ya nyumba za asili huku wakiwa wamebeba watoto wa kisambaa mgongoni.

Kwa kawaida wazungu hawana utamaduni wa kibeba watoto mgongoni na kwamba utamaduni huo utumiwa na waafrika [Picha kwa hisani ya mdau wa Mtandao huu Haji Shemndoa]