UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 12/05/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 12/05/2014.

[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
 [Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro]:



Hali ya Mawingu na  mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.


[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:



Hali ya Mawingu kiasi na Mvua  katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Kigoma]:


Hali ya Mawingu kiasi, Mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua

[Mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya, Lindi na Mtwara]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
18°C
12:31
12:29
D'SALAAM
31°C
24°C
12:26
12:12
DODOMA
30°C
18°C
12:38
12:28
KIGOMA     
31°C
20°C
01:01
12:53
MBEYA
24°C
10°C
12:51
12:33
MWANZA
28°C
20°C
12:44
12:44
TABORA
31°C
18°C
12:49
12:41
TANGA
31°C
24°C
12:24
12:16
ZANZIBAR
30°C
25°C
12:26
12:12


Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini  kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi. 
                                               
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 14/05/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 12/05/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA