UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 16/05/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 16/05/2014.


[Mikoa ya Kagera na Mara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga,Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya]:

Kwa ujumla hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Kigoma,Tabora, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Morogoro,Dodoma na Singida]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.



VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
16°C
12:31
12:29
D'SALAAM
31°C
21°C
12:26
12:12
DODOMA
30°C
16°C
12:38
12:28
KIGOMA       
32°C
21°C
01:01
12:53
MBEYA
22°C
9°C
12:51
12:33
MWANZA
31°C
19°C
12:44
12:44
TABORA
31°C
18°C
12:49
12:41
TANGA
30°C
               23°C
12:24
12:16
ZANZIBAR
30°C
23°C
12:26
12:12

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini katika Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-mashariki katika Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi. 
                                              
Matazamio kuanzia siku ya Jumapili tarehe 18/05/2014 hadi Jumanne tarehe 20/05/2014: Ongezeko la               mvua na vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika maeneo ya ukanda wa Pwani ya Kaskazini.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 16/05/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.