UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 21/05/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 21/05/2014.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro]:
Hali ya mawingu, mvua nyepesi katika maeneo  machache  na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Kagera]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na  ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mara, Shinyanga na Mwanza]:
[Mikoa ya Ruvuma, Dodoma na Rukwa]:
[Mikoa ya Tabora, Kigoma na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C
15°C
12:32
12:28
D'SALAAM
30°C
22°C
12:27
12:11
DODOMA
28°C
16°C
12:40
12:26
KIGOMA   
31°C
19°C
01:02
12:52
MBEYA
23°C
09°C
12:53
12:31
MWANZA
30°C
20°C
12:45
12:43
TABORA
30°C
17°C
12:50
12:40
TANGA
29°C
22°C
12:25
12:15
ZANZIBAR
30°C
22°C
12:27
12:11

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini katika Pwani ya  Kaskazini na kutoka Kusini-mashariki katika Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi. 
                                               
Matazamio kuanzia siku ya Ijumaatarehe 23/05/2014 Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 21/05/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.