UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 25/05/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 25/05/2014.

[Mikoa ya Dar es Salaam Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kagera, Mara na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Dodoma na Rukwa]:
[Mikoa ya Tabora, Njombe, Mwanza na Singida]:
[Mikoa ya Lindi Shinyanga, Mbeya na Mtwara]:
[Mkoa wa Morogoro]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


ANGALIZO:
MAWIBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2.0 YANATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
14°C
12:32
12:28
D'SALAAM
30°C
23°C
12:27
12:11
DODOMA
27°C
17°C
12:40
12:26
KIGOMA   
31°C
16°C
01:02
12:52
MBEYA
22°C
06°C
12:53
12:31
MWANZA
29°C
16°C
12:45
12:43
TABORA
29°C
13°C
12:50
12:40
TANGA
30°C
24°C
12:25
12:15
ZANZIBAR
30°C
25°C
12:27
12:11

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi. 

Matazamio kwa siku ya Jumanne: 27/05/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 25/05/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.