WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE.LAZARO NYALANDU ALIPOTEMBELEWA NA BAADHI YA MABALOZI WIZARANI KWAKE ( MPINGO HOUSE) JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Lazaro Nyalandu akizungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Bi Sinikka Antila ofisini kwake leo... thumbnail 1 summary


Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Lazaro Nyalandu akizungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Bi Sinikka Antila ofisini kwake leo jijini Dar es Salam
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Mahmoud Hassan Mgimwa akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Mark Childress alipotembelea Makao Makuu Mpingo House leo jijini Dar es Salam

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Lazaro Nyalandu akifafanua jambo wakati alipotembelewa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Bi.Dianna Patricia Melrose (kulia) ofisini kwake leo jijini Dar es Salam.