UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 05/06/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA H... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 05/06/2014.

[Mikoa ya Mara , Kagera na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Tanga ,Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Shinyanga ,Tabora na Kigoma]:
[Mikoa ya Njombe, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Mbeya na Iringa]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
17°C
12:35
12:28
D'SALAAM
31°C
22°C
12:30
12:11
DODOMA
29°C
17°C
12:42
12:27
KIGOMA   
31°C
20°C
01:04
12:53
MBEYA
26°C
09°C
12:56
12:31
MWANZA
27°C
20°C
12:47
12:43
TABORA
32°C
19°C
12:52
12:41
TANGA
30°C
23°C
12:27
12:16
ZANZIBAR
31°C
25°C
12:30
12:11

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo mpaka makubwa kiasi. 

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 07/06/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 05/06/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.