UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 10/06/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 10/06/2014.

[Mikoa ya Kagera na Mara]

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya  Ruvuma Rukwa, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Shinyanga Mwanza, na Kigoma]:
[Mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


ANGALIZO:
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI YANAYOZIDI MITA 2.0 UNATARAJIWA KATIKA UKANDA WA PWANI YOTE.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
15°C
12:36
12:30
D'SALAAM
31°C
22°C
12:31
12:13
DODOMA
27°C
16°C
12:43
12:29
KIGOMA       
29°C
17°C
01:05
12:54
MBEYA
22°C
07°C
12:58
12:32
MWANZA
30°C
18°C
12:48
12:45
TABORA
30°C
15°C
12:54
12:42
TANGA
30°C
24°C
12:29
12:17
ZANZIBAR
30°C
24°C
12:31
12:13

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kusini; kwa Pwani ya Kaskazini na  kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa. 

Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 12/06/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 10/06/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.