UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 19/06/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/06/2014.

[Mkoa wa Mara]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Kagera na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Tanga na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kigoma Tabora, Dodoma Singida na Shinyanga]:
[Mikoa ya Rukwa Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya,]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro, Dar es Salaam na Pwani]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

ANGALIZO
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2.0 VINATARAJIWA KATIKA PWANI YA KUSINI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
              23°C
15°C
12:36
12:30
D'SALAAM
32°C
20°C
12:31
12:13
DODOMA
28°C
14°C
12:43
12:29
KIGOMA   
31°C
18°C
01:05
12:54
MBEYA
24°C
08°C
12:58
12:32
MWANZA
31°C
19°C
12:48
12:45
TABORA
31°C
15°C
12:54
12:42
TANGA
30°C
24°C
12:29
12:17
ZANZIBAR
31°C
24°C
12:31
12:13

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na  kutoka Kusini- Mashariki  kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi hadi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 21/06/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 19/06/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.