UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 20/06/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 20/06/2014.


[Mikoa ya Mara, Kagera na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Dar es Salaam,Pwani,Tanga,Lindi na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Mbeya na  Iringa]

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma Tabora, Dodoma Singida na Shinyanga]:
[Mikoa ya Rukwa, Ruvuma na Njombe]:
[Mkoa wa Morogoro kaskazini]:

Hali ya mawingu kiasi, upepo na vipindi vya jua.

TAHADHARI
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YATAKAYOZIDI MITA 2.0 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI PAMOJA NA ZIWA VICTORIA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
              21°C
14°C
12:38
12:32
D'SALAAM
32°C
22°C
12:34
12:14
DODOMA
29°C
16°C
12:47
12:29
KIGOMA   
29°C
18°C
01:09
12:55
MBEYA
23°C
07°C
01:00
12:34
MWANZA
29°C
17°C
12:50
12:49
TABORA
30°C
16°C
12:57
12:43
TANGA
29°C
22°C
12:32
12:18
ZANZIBAR
30°C
24°C
12:34
12:14

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 50 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na  kutoka Kusini- Mashariki  kwa Pwani ya Kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 22/06/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 20/06/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.