UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 24/06/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 24/06/2014.

[Mikoa ya Dar es Salaam Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mara na Kagera]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Tabora, Rukwa, Dodoma  na Singida]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na  Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, Mwanza  na Shinyanga]:
[Mikoa ya Lindi na Morogoro]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

ANGALIZO
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YATAKAYOZIDI MITA 2.0 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
21°C
15°C
12:38
12:32
D'SALAAM
30°C
20°C
12:34
12:14
DODOMA
26°C
15°C
12:47
12:29
KIGOMA   
31°C
19°C
01:09
12:55
MBEYA
20°C
07°C
01:00
12:34
MWANZA
30°C
18°C
12:50
12:49
TABORA
29°C
16°C
12:57
12:43
TANGA
30°C
22°C
12:32
12:18
ZANZIBAR
28°C
23°C
12:34
12:14

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi hadi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 26/06/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 24/06/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.