UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 06/06/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 06/06/2014.
[Mikoa ya Mara, Kagera na Mwanza]:
[Mkoa wa Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Shinyanga na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Morogoro (kaskazini) na Morogoro (Kusini)]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Njombe, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Mbeya na Iringa]:
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

TAHADHARI:
UPEPO MKALI UNAOFIKA KM 40 KWA SAA UNATARAJIWA KATIKA UKANDA WA PWANI YOTE.TAFADHALI CHUKUWA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C
16°C
12:35
12:28
D'SALAAM
30°C
21°C
12:30
12:11
DODOMA
29°C
18°C
12:42
12:27
KIGOMA     
31°C
21°C
01:04
12:53
MBEYA
25°C
08°C
12:56
12:31
MWANZA
23°C
17°C
12:47
12:43
TABORA
30°C
17°C
12:52
12:41
TANGA
26°C
23°C
12:27
12:16
ZANZIBAR
29°C
24°C
12:30
12:11

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na  kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa. 

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 08/06/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 06/06/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.