UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 09/06/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 09/06/2014.

[Mikoa ya Kagera na Mara]

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Manyara]:
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya, Rukwa, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Shinyanga Mwanza, na Kigoma]:
[Mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C
16°C
12:35
12:28
D'SALAAM
30°C
21°C
12:30
12:11
DODOMA
27°C
17°C
12:42
12:27
KIGOMA     
31°C
18°C
01:04
12:53
MBEYA
20°C
07°C
12:56
12:31
MWANZA
30°C
20°C
12:47
12:43
TABORA
30°C
16°C
12:52
12:41
TANGA
29°C
24°C
12:27
12:16
ZANZIBAR
30°C
24°C
12:30
12:11

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini; kwa Pwani ya Kaskazini na  kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi. 

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 11/06/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 09/06/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.