WAZIRI LAZARO NYALANDU AONGOZA MATEMBEZI YA KUPIGA VITA UJANGILI WA TEMBO

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) akipokewa na Bi. Raabia Hawa, Mratibu wa matembezi ya kupiga vita ujangili wa... thumbnail 1 summary
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) akipokewa na Bi. Raabia Hawa, Mratibu wa matembezi ya kupiga vita ujangili wa tembo yaliyoanzia Hifadhi ya Taifa Arusha na yanatarajiwa kumalizikia Nairobi, Kenya tarehe 28 mwezi huu.
Mwendo ulipokolea na makoto yalivuliwa ili kuwa na wepesi zaidi.
Watembeaji wakipumzika kidogo kabla ya kuendelea na matembezi.
Bi. Raabia Hawa akifuta machozi baada ya kuguswa na hotuba ya Waziri Nyalandu kuhusu askari aliyepoteza maisha yake katika Pori la Akiba la Maswa kwa kuuwawa na  Majangili.
Watembeaji katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.