Kama ishara ya kutambua mchango wake
kwa kusafiri mara 94 ndani ya wiki 24, Fastjet imempatia zawadi Mr. Heavenlight
Kavishe ya maua na tiketi ya bure ya kwenda na kurudi katika vituo viwili
ambako ndege hiyo hufanya safari zake.
Created By Sora Templates & Blogger Templates | Gooyaabi Templates