MAFUNZO YA TABIA NCHI KWA WATAALAMU YAFUNGULIWA MKOANI MOROGORO

  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto) akifungua rasmi mafunzo  yanayowakutanisha wataalamu... thumbnail 1 summary
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto) akifungua rasmi mafunzo  yanayowakutanisha wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yanayoendelea mjini Morogoro. Aliyekaa upande wa kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Mazingira kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Gidion  Kasege.
 Mmoja wa wawezeshaji Profesa Pius Yanda kutoka Kituo cha Taaluma ya Mabadiliko ya Tabianchi kilichopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akiwasilisha mada wakati wa mafunzo hayo
 Baadhi  ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zinawasilishwa na wawezeshaji kwa nyakati tofauti tofauti.