UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 19/07/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/07/2014.

[Mikoa ya Kagera, Mwanza, Mara na Kigoma]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
Hali ya mawingu kiasi, Mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tabora, Simiyu, Geita na Shinyanga]:
[Mikoa ya Katavi, Rukwa, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Mbeya na Njombe]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
12°C
12:42
12:36
D'SALAAM
30°C
20°C
12:37
12:19
DODOMA
28°C
16°C
12:49
12:35
KIGOMA   
31°C
15°C
01:11
01:01
MBEYA
25°C
12°C
01:03
12:39
MWANZA
30°C
19°C
12:55
12:51
TABORA
30°C
17°C
12:59
12:49
TANGA
30°C
22°C
12:34
12:24
ZANZIBAR
29°C
22°C
12:37
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa  kwa Pwani ya kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo hadi Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumatatu 21/07/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 19/07/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.