UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 02/07/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 02/07/2014.


[Mikoa ya Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Rukwa, Dodoma  na Singida]:
[Mikoa ya Kagera, Geita, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Simiyu na Katavi]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]:
 [Mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
20°C
14°C
12:41
12:35
D'SALAAM
31°C
19°C
12:36
12:18
DODOMA
26°C
14°C
12:48
12:34
KIGOMA   
29°C
16°C
01:11
12:59
MBEYA
21°C
04°C
01:03
12:37
MWANZA
29°C
16°C
12:53
12:50
TABORA
29°C
15°C
12:59
12:47
TANGA
29°C
22°C
12:34
12:22
ZANZIBAR
29°C
23°C
12:36
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini
                                na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 04/07/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 02/07/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.