UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 25/08/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 25/08/2014.

[Mikoa ya Mara, Shinyanga, Mwanza na Kagera]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

 [Mkoa wa Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Pwani, Dar Es Salaam, Morogoro na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya  na Iringa]:
 [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
 [Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C               
14°C               
12:38
12:37
D'SALAAM
30°C           
19°C           
12:30
12:22
DODOMA
27°C
17°C
12:43
12:37
KIGOMA    
29°C
21°C
01:06
01:02
MBEYA
26°C
09°C
12:55
12:43
MWANZA
25°C
18°C
12:51
12:51
TABORA
30°C
20°C
12:54
12:50
TANGA
28°C
21°C
12:29
12:25
ZANZIBAR
29°C           
21°C           
12:30
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini kwa Pwani ya
                   Kaskazini na kwa kasi ya km 40 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
                                              
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi hadi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 27/08/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 25/08/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.