UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 03/09/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 03/09/2014.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Geita]:
[Mikoa ya Kigoma na  Shinyanga]: 
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya  Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa  ya Njombe, Mbeya na  Tanga]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi]:
[Mikoa ya Rukwa na Iringa]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
               
ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO YA MIKOA YA MARA NA MWANZA.

   VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C               
15°C               
12:33
12:35
D'SALAAM
30°C           
19°C           
12:24
12:22
DODOMA
27°C
16°C
12:38
12:36
KIGOMA    
28°C
19°C
01:02
01:02
MBEYA
21°C
10°C
12:49
12:43
MWANZA
25°C
18°C
12:47
12:49
TABORA
26°C
19°C
12:50
12:48
TANGA
26°C
20°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
28°C           
22°C           
12:24
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 05/09/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 03/09/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.