UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 25/09/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 25/09/2014.


[Mikoa ya Kagera na Geita]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mara na Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Sehemu za miinuko ya Mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam , Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Singida, Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Mtwara, Ruvuma, Tabora na Dodoma]:
[Mikoa ya Lindi, Rukwa, Kigoma na  Shinyanga]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C               
14°C               
12:24
12:30
D'SALAAM
31°C           
21°C           
12:13
12:19
DODOMA
30°C
17°C
12:27
12:33
KIGOMA   
31°C
18°C
12:51
12:57
MBEYA
26°C
08°C
12:36
12:41
MWANZA
30°C
18°C
12:38
12:44
TABORA
32°C
19°C
12:39
12:45
TANGA
30°C
22°C
12:14
12:20
ZANZIBAR
30°C           
22°C           
12:13
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki;  kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani
 ya Kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
                                   
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 27/09/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 25/09/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.