Meneja wa T.I. Jason Geter atembelea Serengeti NP, aungana na Tanzania kwenye kampeni dhidi ya uharamia

Meneja wa T.I., Jason Geter aliamua kubaki kwa muda nchini Tanzania baada ya show ya Fiesta na kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti ku... thumbnail 1 summary
Meneja wa T.I., Jason Geter aliamua kubaki kwa muda nchini Tanzania baada ya show ya Fiesta na kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti kujionea utajiri wa nchi yetu.
10731929_1512233582358271_66083347_n
Jason Geter akiongea jambo na Waziri Lazaro Nyalandu, anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga

Huko alisindikizwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ambaye alimshawishi Geter kujiunga naye kwenye kampeni dhidi ya uharamia.
10706810_317204328463934_342898970_n
Jason Geter akiwa Serengeti
“I’m joining my new friend Mr. Lazaro Nyalandu whom is Tanzania’s new Minister of Tourism in the fight against poaching,” ameandika Geter kwenye Instagram.
10643801_470907079716538_1304234673_n
“Poaching of elephants and rhinos is a huge problem that the world is facing yet most of us are not even aware of. One elephant is killed every 15minutes. At this rate none will be roaming wild in 2025.. Stay tuned for more info or you can visit Iworry.org to read more info. #Elephants #Safari #Serengeti #SerengetiSafari #Educate #Strivers #StriversRow #Tanzania #EastAfrica #Africa.”
10727673_810858792310851_1589180297_n (1)