NYALANDU ATEMBELEA OFISI ZA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA (ANAPA

Baadhi ya watendaji wa TANAPA,wakimsikiliza Waziri Nyalandu alipotembelea hifadhi ya taifa ya Arusha.toka kulia ni Meneja Mawasilian... thumbnail 1 summary
Baadhi ya watendaji wa TANAPA,wakimsikiliza Waziri Nyalandu alipotembelea hifadhi ya taifa ya Arusha.toka kulia ni Meneja Mawasiliano wa TANAPA ,Paschal Shelutete,Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Erastus Rufungulo na Betrita Loibook ,Mhifadhi Mkuu Arusha National Park. 
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiteta jambo na Mhifadhi Mkuu Arusha National Park,Betrita Loibook.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar walipokutana katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha na kumshawishi kutembelea hosptali ya Africa Amini Hearing Center.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA