UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 30/10/2014

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 30/10/2014.

[Mikoa ya Kigoma, Mara, Kagera, Geita na Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
                                                                 
[Mikoa ya Tanga,  Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu, mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[ Mikoa ya Iringa, Rukwa, Mbeya na Njombe]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Singida, Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma, Shinyanga, Tabora na Katavi]

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
14°C               
12:13
12:23
D'SALAAM
32°C           
22°C           
11:59
12:15
DODOMA
31°C
19°C
12:14
12:29
KIGOMA    
29°C
21°C
12:39
12:52
MBEYA
27°C
16°C
12:21
12:39
MWANZA
29°C
20°C
12:28
12:36
TABORA
32°C
20°C
12:27
12:40
TANGA
31°C
22°C
12:02
12:15
ZANZIBAR
32°C           
23°C           
11:59
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa  kasi ya km 30 kwa saa; kutoka  Kusini-Mashariki; kwa Pwani
 ya Kusini na kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini.       
                       
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.
                                
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 01/11/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 30/10/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.