Ajali ya Helicopter ya Maliasili na Utalii imegharimu maisha ya marubani 3 wa Jeshi la Polisi Tanzania. Sp Kidai Kaluse (Mtoto wa Dada yang... thumbnail 1 summary
Ajali ya Helicopter ya Maliasili na Utalii imegharimu maisha ya marubani 3 wa Jeshi la Polisi Tanzania. Sp Kidai Kaluse (Mtoto wa Dada yangu), Insp.Simba Must Simba, Pc. Josso Selestine, Na urbanization wa Kiraia Capt. Khalfan. Ajali imetokea huko Kipunguni B Moshi Bar,Ilala Dar es Salaam.