Naibu Waziri
wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Ally Mwalimu akifungua warsha ya
kuelekea kwenye Mkutano wa kimatafia wa masuala ya mabadiliko ya
tabianchi COP20 ambao unatarajiwa kufanyika Desemba 1-12 mwaka huu huko
Lima nchini Peru.
Mwakilishi kutoka Rosa Luxemburg Foundation, Joan Leon akiwasilisha mada wakati wa warsha ya kuelekea Mkutano wa kimatafia wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi
COP20.
Meneja
Mradi ForumCC, Rebecca Muna akizungumza wakati wa warsha ya kuelekea
Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi COP20 utakaofanyika Lima
nchini Peru Desemba 1-12 mwaka huu.
Afisa Miradi ForumCC, Fazal Issa akijadiliana jambo na mmoja wa washiriki wa warsha hiyo
Baadhi ya washiriki wa warsha wakifuatilia mada mbalimbali
Mwakilishi wa Norwegian Church Aid, Moses Mwihava akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha hiyo
Afisa
Habari ForumCC, Tajiel Urioh akizungumza jambo wakati wa warsha ya
kuelekea Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi COP20.
Baadhi ya washiriki wa warsha wakifuatilia mada mbalimbali
Afisa
Miradi kutoka Kituo cha Elimu ya Mabadiliko ya Tabianchi Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam, Abdallah Henku, Naibu Mkurgenzi wa Mazingira Ofisi ya
Makamu wa Raisi Dr. Richarg Muyungi na Afisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rasi, Injinia Lasdaus Kyaruzi
Mwezeshaji wa warsha hiyo kutoka ForumCC, Adam Anthony
Picha zote na Tabianchi Blog