UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 11/11/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 11/11/2014.

[Mikoa ya Kagera, Geita na Kigoma]:
[Mikoa ya  Mwanza na Mara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mkoa wa Ruvuma]:
Hali ya mawingu, mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Iringa, Rukwa, Mbeya, Njombe  na Pwani]:
[Mikoa ya  Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara ]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

























VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
18°C               
12:13
12:24
D'SALAAM
31°C           
25°C           
11:57
12:18
DODOMA
32°C
20°C
12:12
12:31
KIGOMA    
21°C
22°C
12:37
12:54
MBEYA
27°C
15°C
12:17
12:44
MWANZA
30°C
20°C
12:28
12:37
TABORA
31°C
22°C
12:25
12:42
TANGA
29°C
25°C
12:00
12:17
ZANZIBAR
31°C           
24°C           
11:57
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa  kasi ya km 20 kwa saa kutoka  Kusini-Mashariki kwa Pwani  
  yote.       
                       
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.
                                
Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 13/11/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 11/11/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.