UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.

[Mikoa ya   Mwanza , Kagera, Geita, Tabora na Kigoma]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya  Mara,  Shinyanga na Rukwa]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya  Kilimanjaro, Arusha na Manyara ]:
[Mikoa ya  Tanga, Iringa, Mbeya na Njombe]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Singida, Morogoro, Dar es Salaam na Pwani]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

 [Mikoa ya Dodoma, Ruvuma, Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
TAREHE 19/11/2014.

ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATEGEMEWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA KIGOMA NA TABORA

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C
17°C
12:13
12:24
D'SALAAM
32°C
23°C
11:57
12:18
DODOMA
32°C
19°C
12:12
12:31
KIGOMA    
29°C
21°C
12:37
12:54
MBEYA
28°C
17°C
12:17
12:44
MWANZA
29°C
20°C
12:28
12:37
TABORA
33°C
19°C
12:25
12:42
TANGA
31°C
23°C
12:00
12:17
ZANZIBAR
32°C
23°C
11:57
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka  Kusini-Mashariki kwa  kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
    
 Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 21/11/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 19/11/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.