UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.

 [Mikoa ya  Mwanza, Kagera, Geita na  Mara]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya  Rukwa,  Iringa, Mbeya na Njombe]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya   Tanga, Morogoro, Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya  Singida, Kilimanjaro, Arusha na Manyara]
[Mikoa ya  Dodoma, Ruvuma na  Shinyanga]:
 [Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.






TAREHE 25/11/2014.






VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C
14°C
12:12
12:26
D'SALAAM
34°C
23°C
11:55
12:21
DODOMA
32°C
19°C
12:11
12:33
KIGOMA      
28°C
19°C
12:37
12:55
MBEYA
27°C
12°C
12:16
12:46
MWANZA
27°C
19°C
12:28
12:39
TABORA
29°C
18°C
12:25
12:43
TANGA
33°C
23°C
12:00
12:18
ZANZIBAR
32°C
24°C
11:55
12:21

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa  kasi ya km 20 kwa saa;  kutoka  Kusini -Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Alhamis: 27/11/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 25/11/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.