UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.

[Mikoa ya  Mwanza, Kagera, Geita na Shinyanga  ]:
[Mikoa ya   Kigoma, Rukwa na Tabora]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Mara]:
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]
[Mkoa wa  Ruvuma na Morogoro kusini]:
[Mikoa ya Mbeya,  Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Singida, Dodoma]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Lindi  na Mtwara  ]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Mkoa wa Morogoro (kaskazini) ]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
TAREHE 27/11/2014.
ANGALIZO
1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO YA UKANDA WA ZIWA VICTORIA.
2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM40 KWA SAA UNATARAJIWA KATIKA MAENEO YA UKANDA WA ZIWA VICTORIA: TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C
15°C
12:12
12:26
D'SALAAM
35°C
24°C
11:55
12:21
DODOMA
33°C
21°C
12:11
12:33
KIGOMA           
25°C
19°C
12:37
12:55
MBEYA
28°C
15°C
12:16
12:46
MWANZA
27°C
18°C
12:28
12:39
TABORA
29°C
18°C
12:25
12:43
TANGA
33°C
23°C
12:00
12:18
ZANZIBAR
33°C
25°C
11:55
12:21

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa  kasi ya km 20 kwa saa;  kutoka  Kusini kwa Pwani ya
                              Kaskazini na kutoka Kusini -Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 29/11/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 27/11/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.