Mkurugenzi
Mkuu Madame Rose Abdallah akitoa shukrani kwa wageni waliofika kwenye
mchaparo wa kusherehekea kutimiza Miaka 20 ya Antelope Tours& Travel
Services Ltd iliyofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es salaam
Mkurugenzi Mkuu Eckhardt Mtasiwa akiongelea machache kuhusu kampuni kwa wageni waalikwa
Bwana Davis Mosha akiongea machache baada ya kupokea tuzo ya mteja wa Antelope Tours & Travel Services Ltd wa miaka mingi
Meneja
Mkuu Bwana Harry Chopeta akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Rose
Abdallah na wakurugenzi Bwana Eckhardt Mtasiwa na Bi Lysa John
Mkurugenzi
mkuu Rose Abdallah akikata keki huku na wafanyakazi wa Antelope na
Meneja mkuu wa Amadeus Juan Tores wakiisubiuri kwa hamu.