UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 13/12/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 13/12/2014.
 [Mikoa ya Kigoma, Tabora,  Katavi na Rukwa]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara na Shinyanga]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Tanga na Morogoro]: [Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma, Singida na Ruvuma]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
                                                                                

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C
15°C
12:21
12:35
D'SALAAM
33°C
23°C
12:02
12:32
DODOMA
32°C
20°C
12:18
12:44
KIGOMA       
28°C
19°C
12:44
01:06
MBEYA
27°C
14°C
12:22
12:58
MWANZA
29°C
19°C
12:36
12:48
TABORA
31°C
18°C
12:32
12:54
TANGA
32°C
23°C
12:07
12:29
ZANZIBAR
31°C
24°C
12:02
12:32

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa  kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani  yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.

Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 15/12/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 13/12/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.