UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 22/01/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@me... thumbnail 1 summary


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 22/01/2015.

[Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mkoa wa Ruvuma]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro,  Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mara, Shinyanga na Mwanza]:
[Mikoa ya Tabora Kigoma na Katavi]:
 [Mikoa ya Geita na Kagera]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

ANGALIZO
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO YA MIKOA YA RUKWA,MBEYA,IRNGA NA NJOMBE.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C
16°C
12:38
12:52
D'SALAAM
33°C
25°C
12:21
12:47
DODOMA
27°C
19°C
12:37
12:59
KIGOMA    
23°C
20°C
01:02
01:22
MBEYA
24°C
15°C
12:41
01:13
MWANZA
28°C
19°C
12:53
01:05
TABORA
22°C
17°C
12:50
01:10
TANGA
31°C
24°C
12:25
12:45
ZANZIBAR
32°C
25°C
12:21
12:47

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa  kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki  Pwani  ya  Kaskazini  na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
                        
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 24/01/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 22/01/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.