UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 09/02/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@me... thumbnail 1 summary


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 09/02/2015.

[Mikoa ya Mbeya, Iringa  Njombe na Morogoro(Kusini)]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Ruvuma, Rukwa na Katavi]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

 [Mikoa ya Kagera, Geita ,Mara, Shinyanga na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Morogoro(Kaskazini) Dar es Salaam, Tanga na Pwani]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
31°C
15°C
12:41
12:54
D'SALAAM
33°C
26°C
12:26
12:47
DODOMA
33°C
19°C
12:41
01:00
KIGOMA       
30°C
21°C
01:06
01:23
MBEYA
24°C
15°C
12:47
01:13
MWANZA
31°C
20°C
12:56
01:07
TABORA
27°C
18°C
12:54
01:11
TANGA
33°C
24°C
12:29
12:46
ZANZIBAR
34°C
26°C
12:26
12:47

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki; kwa  kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na Kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 11/02/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 09/02/2015.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.